BREAKING NEWS

VIDEO ZA AFYA

DAWA ZETU

USHAURI WA AFYA

Jumatano, 2 Desemba 2015

HIVI NDIVYO UYOGA UNAVYOWEZA KURUDISHA KINGA ZA MWILI WAKO






Kwa kawaida kinga ya mwili ndiyo kila kitu kinachouendesha mwili hasa katika kuulinda usishambuliwe na magonjwa ya aina mbalimbali.
Mara zote kinga ya mwili inapokuwa juu basi siyo rahisi mtu kuugua hasa magonjwa madogo madogo na hata makubwa pia. 

JE, NITAJUAJE KAMA KINGA YA MWILI WANGU IMESHUKA?
Watu wengi huwa wamekariri kuwa mtu ambaye kinga ya mwili wake imeshuka ni mgonjwa wa muathirika Ukimwi, Hii dhana siyo ya kweli kabisa, sasa leo kupitia makala hii utajua mtu ambaye kinga yake ya mwili imeshuka anakuwaje. 
Kwa kifupi ni watu wengi sana ambao kinga yao ya mwili imeshuka ila hawajitambui lakini wanaishia kulalamika kuwa wanaumwa matatizo mbalimbali.

Sasa ukiwa na matatizo au dalili zifuatazo basi tambua kabisa kuwa kinga yako ya mwili imeshuka na unaweza kuchukua tahadhari mapema.

1. Ukiwa unaugua mara kwa mara hata kama ni mafua au homa yoyote basi jua kuwa kinga yako ya mwili ipo chini.

2. Mwili kuwa na uchovu au kujisikia kuchoka mara kwa mara

3. Maumivu ya kiuno na mgongo mara kwa mara.

4. Kukosa usingizi hadi kufikia hatua ya kumeza vidonge vya usingizi ndipo unalala.

5. Kuwa na Ugonjwa wa Kisukari. Mgonjwa yeyote wa Kisukari kinga yake ya huwa ipo chini na ndo maana mtu yeyote mwenye tatizo hili huweza kuandamwa na magonjwa mengi sana.

6. Kwenda Hospitali ukiwa unaumwa lakini ukifanyiwa vipimo unaambiwa huna ugonjwa wowote japo wewe unajisikia kuumwa.

Na matatizo mengi yanayoambatana na hayo ikiwemo Wanaume wengi kuishiwa nguvu za kiume, Wanawake kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa, wanawake/wasichana wengi Kuugua magonjwa ya njia za mkojo kwa muda mrefu(UTI sugu). 

MAMBO YA KUZINGATIA
-Epuka ulaji wa vinywaji vyenye sukari nyingi, vyakula vilivyokaangwa, vilivyokobolewa, vyakula vya kwenye makopo(vyakula vinavyotengenezwa viwandani), uvutaji wa sigara, unywaji wa pombe, ulaji wa chips mara kwa mara, upigaji punyeto kwa wanaume n.k

Pia kula sana mboga za majani, matunda, samaki, nyama nyeupe, fanya mazoezi ya mwili, ugali wa dona, kunywa maji mengi, kula chakula kwa mpangilio kwa kuzingatia Lishe.

Hivyo basi, endapo tayari una hizo baadhi ya dalili za kupungukiwa kinga mwilini, tunakushauri usihangaike kutumia dawa zingine zozote, kwani tiba yako wewe ni kutumia uyoga mwekundu. Uyoga huu ambao wataalamu wanasema tangu zamani ulikuwa ukitumika katika matibabu ya kupunguza uzito, lakini utafiti wa sasa unaonyesha kuwa Uyoga huo ni mzuri mno katika KUREFUSHA MAISHA. Na maisha yanarefushwa na kutumia kinga imara.
Utafiti huo kuhusu Uyoga mwekundu ni kwa mujibu wa watafiti wa Chuo Kikuu cha Chang Gung.

Sasa utaupataje huo uyoga mwekundu?
Uyoga huu unapatikana nchini China pekee, sasa huku kwetu Afrika haupo. Lakini Wataalamu kutoka kiwanda cha Dawa cha Hangzhou Neptunus Bioengineering wameweza kuutengeneza uyoga huu katika mfumo wa vidonge ili iwe rahisi kupatikana popote. 

Vidonge hivi vinakuwa 60 katika package moja na unavitumia kwa muda wa siku 10 tu na kuufanya mwili wako kuwa imara.

Vidonge hivyo pia vinawasaidia sana wagonjwa wa Kisukari, Presha na hata watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi kwani hupandisha sana kiwango cha kinga ya mwili na CD4.
Hata vijana walioathirika na upigaji wa punyeto dawa hii ni nzuri sana kwao kwani hurejesha madini muhimu ambayo yamepotea mwilini.

Upatikanaji wa vidonge hivi ni rahisi tu kwani unaweza kuvipta popote ulipo kwa mawasiliano yafuatayo:

Chapisha Maoni

 
Copyright © 2013 NGALAWA HEALTH CONSULTANT
Powered by WordPress24x7