BREAKING NEWS

VIDEO ZA AFYA

DAWA ZETU

USHAURI WA AFYA

Jumanne, 21 Machi 2017

EWE MWANAMKE DHIBITI NYUMBA NDOGO KWA KUBORESHA NA KURUDISHA NGUVU ZA KIKE KATIKA NDOA YAKO.



Habari za leo rafiki yangu leo naomba tujifunze suala la upungufu wa nguvu za kike ambazo hutokea katika familia zetu na kutuletea changamoto kubwa.
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIKE (LOW LIBIDO IN WOMEN ) NI NINI? Hii ni hali ya ukosefu wa hamu ya kufanya mapenzi kwa mwanamke, tatizo hili hutokana na sababu tofauti mfano uwiano mbaya wa homoni nk, wanawake wengi nchini na Duniani wanasumbuliwa na tatizo hili la kutopata hamu ya kufanya tendo la ndoa na kushindwa kufika Kileleni, inasadikika kuwa katika kila wanawake kumi basi wanne Kati yao Wana tatizo hili.
Mara nyingi ugonjwa huu husababishwa na mambo makuu mawili ambayo ni matatizo ya kimwili na matatizo ya kisaikolojia
 1)MATATIZO YA KIMWILI (PHYSICAL)
 kuna magonjwa mengi yanayosababisha tatizo hili baadhi ya magonjwa hayo ni ANEMIA(UPUNGUFU WA SELI HAI NYEKUNDU ZA DAMU) ugonjwa huu ni chanzo KIKUU cha tatizo hili kwasababu huambatana na upungufu wa madini ya chuma (iron) ambayo ndio hufanya kazi ya kusisimua mwili na kuongeza hamu ya tendo la ndoa, Mara nying wanawake wanapokua katika hedhi huwa wanapoteza kiwango kikubwa cha madini ya iron ambayo hutolewa mwilini kupitia damu hvyo huchangia asilmia kubwa kupoteza hamu ya kufanya tendo la ndoa, pia mabadiliko ya homoni katika mwili huwa ni tatizo kubwa kwasababu mwanamke anapokua katika Hali ya kawaida uzalishaji homoni huwa ni wa kawaida ila atakapo kua ananyonyesha au mjamzito mwili huzalisha LUTEINISING HORMONE (LH) ambayo huondoa hamu ya kufanya tendo la ndoa
 2)SABABU ZA KISAIKOLOJIA
 sababu hizi hutokana na mazingira na vipindi tunavyopitia hivyo kuwa hatarishi kwetu  na kuwa chanzo cha kupata tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa yafuatayo ndio Vyanzo vya tatizo hili
  •   Msongo wa mawazo
  •   woga
  •   mazingira magumu
  •   manyanyaso ya jinsia au kubakwa wakati wa utoto
  •   huzuni
  •   kumbukumbu mbaya kichwani nk
 MATIBABU NA JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU
 matibabu ya ugonjwa huu hupatikana kwa ugumu kidogo na hufanyika na kutolewa kupitia vipimo vya uchunguzi, historia ya mhusika pamoja na Dalili za magonjwa mbalimbali pia pamoja na hayo tatizo hili unaweza kulitibu kwa kuzingatia yafuatayo
  •   Epuka kuvuta sigara
  •   Zingatia ulaji mzuri kwa afya yako
  •   Ondoa mawazo na huzuni
  •   Ongeza msisimuko katika mahusiano yako
  •   Acha ulevi
  •   Badilisha mfumo wa maisha yako
  •   Weka mazingira mazuri muda wa kufanya tendo la ndoa
THIBITI NYUMBA NDOGO KWA KUTUMIA SOY ISOFLAVONE

JE SOY ISOFLAVONE NI NINI?Hiki ni kirutubisho kilichotengenezwa kwa maharage ya soya na njegere.Isoflavone ambayo ni mahususi kwa vichocheo vya kike Kama Estrogen.

  Faida kubwa zaidi za Soy Isoflavone ni hizi

  • Inasaidia mfumo wa uzazi kwa mwanamke,kufanya kazi vizuri na kuimarisha Mayai yake kupevuka.
  • Kuongeza Kazi za ovary Kama ulishawahi kutumia njia ya uzazi wa mpango na kwa sasa unahitaji mtoto.
  • Kutibu maumivu wakati wa tendo la ndoa kwa wanawake.
  • Kuongeza hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake.
  • Inaondoa matatizo ya maumivu ya mifupa,na matatizo yote yanatokea wakati wa kuingia Kwenye ukomo wa hedhi (menopause).
    Inachelewesha kuzeeka mapema na kufanya ngozi kuwa na afya na ang'avu.
  • lnaboresha usingizi na kupunguza uwezekano wa kupata saratani ya matiti
  • lnapunguza mafuta kwenye damu 
  • lnapunguza uwezekano wa kupata matatizo ya moyo na mishipa ya moyo
Wanawake wengi wana upungufu wa Estrogen au kuongezeka kwa vichocheo kunakosababisha kupunguza kiasi cha damu kinachoenda Kwenye via vya uzazi na kusababisha kupungua kwa majimaji ukeni.Kama una matatizo hayo jipatie kirutubisho hiki.
kirutubisho hiki kipo katika mfumo wa vidonge 60x500mg vimetengenezwa katika teknolojia ya kisasa.


kukipata wasiliana nasi kwa nambari hapa chini
call 0765 714982
whatsapp 0769 933525
popote bidhaa hizi zitakufikia .

Chapisha Maoni

 
Copyright © 2013 NGALAWA HEALTH CONSULTANT
Powered by WordPress24x7