BREAKING NEWS

VIDEO ZA AFYA

DAWA ZETU

USHAURI WA AFYA

Alhamisi, 18 Mei 2017

UJUE MZUNGUKO WAKO WA HEDHI NA UFAHAMU SIKU ZA KUSHIKA MIMBA





Habari za leo rafiki yangu, ni matumaini yangu unaendelea vizuri na kufurahia elimu uipatayo hapa pia napenda kuwapongeza wote wachukuayo hatua kwa kutumia virutubisho na pads zetu za neplily sanitary pads, kutokana na maoni yenu juu ya kufunzwa jinsi ya kuweza kuhesabu mzunguko wa wenu wa hedhi kupanga na kuepuka mimba leo nipo hapa kuwajuza haya
  • Kutokana na wanawake wengi kutokujua mizunguko yao ya hedhi hivyo huwawia vigumu kujua ni siku gani akutane na mumewe au aepuke ili kubeba mimba au kutoshika mimba
  • Ni muhimu sana mwanamke kujua mzunguko wake wa hedhi, hii pia itakusaidia kujua siku hatari za kushika mimba na vile vile kukusaidia kuepuka mimba usiyoitarajia kwa kutumia kalenda yako kupanga tarehe yako.

 NAMNA YA KUHESABU MZUNGUKO WAKO WA HEDHI
ili kujua siku nzuri ya kupata mimba au kuepuka ni lazima kwanza ujue siku ya KILELE (productive/fetal day) kwa maana kwamba ujue siku ambayo huitwa SIKU YA KUMI NA NNE
  •  Rafiki napenda mtambue kuwa wanawake mnatofautiana katika swala la urefu wa mzunguko wa hedhi (menstrual periods) yani idadi ya siku ya kwanza ya period mpaka hedhi ya pili
  •  wanawake wengi huwa mnafall Kwenye tarehe 22-35 ingawa wapo walio kawaida wanachukua siku 28 vilevile wengine Wana mizunguko miwili yani mfupi na mrefu hivyo walio na mzunguko mfupi mathalani wale wenye siku 22 huwa Wana kipindi kifupi cha utokaji damu yan damu inaweza kukatika ndani ya siku mbili huwa ni tofaut na mtu mwenye mzunguko wa siku 31_35 kwani wao huwa na kipindi kirefu cha utokaji damu
JE, UNAIJUA SIKU YA MIMBA???
watu wengi huwa hatujui  na kuishia kuchemka katika swala hili la mzunguko wa hedhi na kutambua siku ya mimba ni ipi wao hufikiri siku ya mimba ni Ile siku ya kumi na nne baada ya Dalili za kwanza za damu, wao huhesabu kuanzia Ile siku damu ilipoanza kutoka hadi siku ya kumi na nne, kwa utaratbu huu wengi wanafall hii ni kwasababu wanawake Wana mizunguko tofauti kwa urefu hivyo basi nakuelekeza ili ujue siku ya mimba ni ipi
  •   Kwanza inabid ujue mzunguko wako ni upi??? Yan mfupi /mrefu /wa kawaida
  •   Baada ya kujua urefu wa mzunguko wako chagua (pin_ point) yani siku Ile ya mwisho halafu uhesabu kurudi nyuma (backwards) siku kumi na tano kuanzia siku Ile ya mwisho yani siku kumi na tano kuanzia mwisho ndio siku ya mimba, hapa namaansha ukishafahamu siku ya kumi na tano kutoka mwisho hukuwezesha kufaham siku ya kupata ujauzito
  • kwa utaraitbu huu mdogo msomaji utagundua karibia wanawake wote au wew mwenyew unatumia njia za Zaman ambazo huwafaa watu wenye mzunguko wa siku 28 tu hivyo nakupa mifano Hai jinsi ya kutumia kalenda kwa mizunguko yote
MZUNGUKO WA SIKU 28
tengeneneza kalenda yako ya siku 28 yani hivi 1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,21,22,23,24,25,26,27,28
Baada ya kuandaa hesabu kuanzia 28 mpaka siku ya kumi na tano ambayo itaangukia Kwenye (14th) day sasa hiyo ndio siku ya kubeba mimba kwa mwanamke yoyote mwenye mzunguko wa siku 28 Lakin kwakua kipindi cha ovulation kinaanza siku ya 4_5 kabla ya ovulation na humalizika masaa 24_48 hivyo unapaswa kujikinga kuanzia tareh 12_16 kuepuka mimba hii ni kwasababu mbegu za mwanaume Zina uwezo wa kudumu kwa masaa 24_48 baada ya kujamiiana,
kumbuka :siku ya kwanza ndio siku unayoanza kubreed

MZUNGUKO WA SIKU 22
 tengeneneza kalenda yako ya siku 22 yani hivi
1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,21,22,Baada ya kuandaa hesabu kuanzia 22 kurudi nyuma mpaka siku ya kumi na tano ambayo itaangukia Kwenye (8th)hivyo siku hiyo ni siku ya hatar kubeba mimba ila kwa kuangalia ovulation inabid ujikinge kuanzia tarehe 6_10 kuepuka mimba hii ni kwasababu mbegu za mwanaume Zina uwezo wa kudumu kwa muda wa masaa 24_48 kumbuka tareh moja ndio siku unayoanza kubreed
MZUNGUKO WA SIKU 35

Tengeneneza kalenda yako ya siku 35 yani kama hivi
1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,21,22,23,24,25,26,27,28,29,30,31,32,33,34,35.Baada ya kuandaa hesabu kuanzia 35 kurudi nyuma mpaka sku ya kumi na tano ambayo itaangukia Kwenye (21th)hivyo hiyo siku ni ya hatar kubeba mimba ila kutokana na ovulation inabid uanze kujizuia kuanzia tareh,19_23 kuepuka mimba hii ni kwasababu mbegu za mwanaume Zina uwezo wa kudumu kwa masaa 24_48 baada ya kujamiiana

MZUNGUKO USIO WA KAWAIDA WA SIKU KUMI NA TANO
 Mara nyingi Watu Hawa huwa na mzunguko wa siku 15-18 Hawa huwa na wa kutokushika mimba hivyo kwanza tengeneneza mzunguko wa siku zako
1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,15 Kisha Anza kuhesabu kuanzia 15 kurud nyuma mpaka ufike siku kumi na tano Bila Shaka itaangukia Kwenye (1st) hivyo siku ya kwanza ya mzunguko wa mwanamke yoyote mwenye mzunguko wa siku 15 ndio siku hyo mimba inaingia (hata wa siku kumi na nane follow above) kumbuka siku ya kwanza ndio siku unayoanza kubreed pia ndio siku hyo unaweza kupata mimba hii inamaanisha kwamba siku ambayo linaharibika lile yai la kwanza ndio siku hyo hiyo yai la upande wa pili linapevuka n kuwa tayar kurutubishwa, Mara nyingi mwanamke wa kundi hili anaweza kupata mimba kama atakutana na mwanaume wake siku Ile anayoanza hedhi kwani n siku ambayo yai linaharibika na ndio siku hyo yai moja linapevuka na kuwa tayar kurutubishwa
  •  Mara nyingi wanawake wa kundi hili huwa hawapati ute wa Uzazi ambao wenzao huwa wanapata siku Ile yai linapevuka wao hupata ute uliochanganyikana na damu kwakua ndio siku hyo ya kuanza breed
  • Rafiki yangu ni matumaini yangu umejifunza na kuelewa jinsi ya kupanga kupata mimba au kuepuka nimeamua kuandaa somo hili ili kupunguza utoaji wa mimba na madhara wanayoyapata wanawake wanaotumia vidonge vya Uzazi wa mpango hivyo ni vizuri KUTUMIA KALENDA ILI KUEPUKANA NA MADHARA YA SINDANO NA VIDONGE VYA UZAZ WA MPANGO AMBAYO NI MAKUBWA KAMA VILE KUPATA SARATAN YA MATITI, KUWA MGUMBA, KUPATA UVIMBE KATIKA KIZAZI, HUSABABISHA KUBLEED SANA NK,
Asante kwa kusoma  kupata elimu hii na wewe unaweza kuwafundisha wenzako kwa kushare hii post na kuwatag marafiki zako
Jipatie neplily sanitary pads ,pads salama kwa hedhi yako, na virutubisho vya kutibu magonjwa tabia na sugu kama presha,asthma,joint maumivu ya viungo,kuongeza kinga yako,vidonda vya tumbo ,alleji na kadhalika usisite kunitafuta .
NOTED :NDUGU MSOMAJI KAMA UNA MAONI USHAUR NIANDIKIE UJUMBE KUPITIA NAMBA YANGU HAPO CHINI 0769933525/ 0765714982

Maoni 6 :

  1. mwezi huu nimeingia kwenye mzunguko wangu tarehe3 je? Naijuaje tarehe yakushika mimba? tarehe zangu huwa zinabadilika sana,kwahiyo zinanichanganya nashindwa kujua siku yakushika mimba aukujua mzunguko wangu nimlefu au mfupi,naomba msaada wako

    JibuFuta
  2. Sjaona mzunguko Wa siku 32

    JibuFuta
  3. Jamani mim mizunguko inabadilika Mara siku 22 Mara 28 wakat mwingine mizunguko wasiku 29 sijielew .tafazal nisaidie.asante

    JibuFuta
  4. Samahan sijaelew, niliingia bleed tare 6/9 je siku za hatar itakua tarehe ngapi

    JibuFuta
  5. Samahani Mimi mwezi uliopita niliingia bleed tar 14 Sasa mwezi huu nimeingia tarehe 11 Sasa hii inakuwaje maana sielew mzunguko wangu ni upi

    JibuFuta
  6. Siku 32 mbona hamna apa

    JibuFuta

 
Copyright © 2013 NGALAWA HEALTH CONSULTANT
Powered by WordPress24x7