BREAKING NEWS

VIDEO ZA AFYA

DAWA ZETU

USHAURI WA AFYA

Jumapili, 13 Novemba 2016


MAAJABU YA MTI WA GINKGO KATIKA KUTIBU MAGONJWA MBALIMBALI

Ginkgo ni nini?
Huu ni mti uliopatikana zaidi ya miaka 300 iliyopita.

Mti huu haushambuliwi na magonjwa ya aina yoyote ile.
Kutokana na hili hii umepewa jina la MTI MTAKATIFU WA MATUNDA(Holy fruit tree) katika jamii za mwanzo nchini China.

Hutumika katika kutengenezea madawa, vipodozi, chakula na bidhaa zingine na kuleta matokeo makubwa.

Baada ya mti huu kuonekana kuwa na kazi nyingi kiafya, mashamba maalumu kaskazini mwa China yalianzishwa chini ya usimamizi wa makampuni.

Aina ginkgo imepandwa katika eneo ambalo halina taka, lengo ni kupata zao ambalo halina viambata sumu toka viwandani.

FAIDA ZA MTI AINA YA GINKGO KIAFYA.
1. Hupunguza matumizi ya oksijeni na kuongeza damu inayofika kwenye moyo na ubongo.

2.Kuongeza ufanisi wa seli za ubongo.

3.Hupunguza uzito wa damu.

4.Huimarisha mfumo wa hewa, mapafu hivyo kuzuia kuathirika kwa mapafu,  huzuia aleji na huleta  nafuu kwa mgonjwa wa pumu.

5. Inapunguza fati, mafuta mabaya ( Cholesterol) na kuongeza ufanisi wa Nitric Oxide kwenye damu.

6.Huimarisha kinga na kuondoa sumu mwilini.

7.Inasaidia kuongeza kumbukumbu

8.lnarekebisha presha ya moyo ya juu (HBP) na kisukari.

9.lnaboresha mzunguko wa damu


NI NZURI KWA MATATIZO YATOKANAYO NA MOYO.

NANI ANAFAA KUTUMIA DAWA ITOKANAYO NA MTI HUU.?.

1. Mwenye matatizo sugu ya moyo.

2. Magonjwa ya ubongo

3. Kukakamaa kwa mishipa kichwani.

4. Kuumwa macho muda mrefu, kichwa cha mara kwa mara

5. Matatizo ya masikio, kusikia kengele/kelele masikioni.

hasa kwa watu ambao hawajazaliwa nalo yaani ugonjwa tabia

Napenda kukuambia kuwa baada ya kusoma historia fupi ya mti huu basi niliamini kwanini nchi kama China, Thailand, Japan hutumia sana  dawa na virutubisho zilizotengenezwa asilimia mia moja (100%) kutokana na mimea.

Mimi nimetumia na nimeona matokeo yake ni bidhaa adimu sana hapa tanzania nakwa nchi zilizoendelea upatikanaji wa bidhaa hii kutokana na ugumu wa kustawi kwa mimea hii hustawi kwa misimu na upatikanaji wake ni gharama zaidi ya almasi.

Kutokana na matumizi yake kuwa mengi kiafya katika zama hizi za kukua kwa sayansi na tekinolojia hii imechangia mmea huu kuwekwa katika mfumo wa vidonge ili uweze kutatua changamoto za kiafya ulimwenguni kote katika kiwango maalumu cha kitaaluma

Kila kidonge kina uzito wa 350mg, ambapo pack moja ina vidonge 96 na ni asili 100%. vinapatikana ofisini kwetu na pack moja hutumika kwa mwezi mmoja.

bidhaa hii itakufikia popote ulipo unaweza kuwasiliana nasi kwa jinsi ya kupata kirutubisho hiki na  ushauri kwa  kutuma ujumbe moja kwa moja /whatsapp 0769933525 au call 0765714982

Chapisha Maoni

 
Copyright © 2013 NGALAWA HEALTH CONSULTANT
Powered by WordPress24x7