❤PUNYETO❤ huambatana na madhara makubwa ya kiafya na leo
tutaangalia madhara kumi ya kujipa raha mwenyewe kwa kutumia muono wako
au kwa jina Jingine "PULI"
❤1. punyeto humfanya mtu awe mlegevu bila kuwa na nguvu
kabisa mda wote kwani nguvu nyingi hutumika kwenye tendo hilo kuliko
hata nguvu zinazotumika zinapokutana nyama kwa nyama.
❤2. Husababisha mwanamume kutoa mbegu haraka kipindi cha
tendo la ndoa na mwanamke na kushindwa kumfikisha mwanamke kileleni....
(Premature ejaculation)
anaweza akajikuta akigusa tu "nanii" ndani ya dakika cha he mheshimiwa anatapika.
anaweza akajikuta akigusa tu "nanii" ndani ya dakika cha he mheshimiwa anatapika.
❤3. Ni moja ya chanzo Kikuu cha kupoteza nguvu za kiume,
uume kusinyaa na kukosa nguvu kwa sababu ya kuharibu mishipa ya fahamu
wakati MTU akijisugua katika kulitafuta bao
❤4. Hupunguza idadi ya mbegu za kiume (low sperm count) hivyo ni mbaya sana kwa watu wanaotafuta motto.
❤5. Husababisha mtu kusahau sahau sana na kushindwa kufanya vitu kwa makini zaidi
❤6. Huleta utumwa wa kifikra kwani ukishaanza huwezi kuacha kirahisi (addiction)
❤7. Punyeto husababisha mwanamke au mwanamume kukosa hamu kabisa na mwenza wake hivyo kuleta usumbufu kwenye mahusiano.
❤8. Punyeto ni chanzo kikuu cha ngono za jinsia moja
shuleni na vyuoni ambazo huambukiza magonjwa ya Zinaa kama Gono,
kaswende na Ukimwi kirahisi sana.
❤9. Husababisha msongo mkubwa wa mawazo kwani mara nyingi
kila umalizapo tendo hilo unajuta sana na kuapa kwamba hutorudia tena
lakini ikifika mida Fulani "sabuni kama kawa"
❤10. Kijana kuondokwa na haja ya kuoa au kuolewa kwani
anachokitaka anahis anakipata na kupelekea kushindwa kuandaa familia
yake .
❤Amua sasa kuacha mchezo huo mchafu
❤MAFUNDISHO,USHAURI WA AFYA NA TIBA TIGA NUMBA
Chapisha Maoni